Wilayani Pangani – Yaadhimisha Kilele Cha Wiki Ya Unyonyeshaji Maziwa Ya Mama Kwa Mtoto
Maadhimisho hayo yamefanyika leo Agosti 7,2023, katika kata ya Mwera Wilayani Pangani na kuhudhuriwa na Mganga Mkuu Hospitali(W), Diwani wa...
Mtaalamu wa masuala ya lishe na muanzilishi wa tovuti Lishe4Life.com. Nikiwa na msingi imara katika masuala ya lishe, Nimejitolea kutoa habari sahihi, za kisayansi, na zinazoweza kutumika na jamii kwa urahisi, kuhusu jinsi ya kuishi Maisha bora kwa kuzingatia Afya na Lishe bora.
Mchango wangu hauishii kwenye lishe pekee. Nikiwa kama mtaalamu wa kuandaa mahudhui ya mtandaoni, ninahakikisha kuwa Lishe4Life.com inatoa habari na taarifa za lishe, zinazovutia, zinazoshirikisha, na zenye athari Chanya kwa jamii. Ujuzi wangu katika masuala ya tehama umeniwezesha kufanya mabadiliko, kuboresha, na kuweka mifumo bora kwenye tovuti hii, hivyo kufanya kila ziara ya mtembeleaji wa tovuti hii kuwa yenye thamani.
Kupitia Lishe4Life.com, nimeweza kuunganisha masaula ya lishe na teknolojia kutoa chombo chenye nguvu kinachohamasisha, kuelimisha, na kusaidia jamii kufanya maamuzi sahihi kwa afya zao. Dhamira yangu kuu ni kubadilisha Maisha jamii ya Watanzania kupitia lishe na teknolojia.
Maadhimisho hayo yamefanyika leo Agosti 7,2023, katika kata ya Mwera Wilayani Pangani na kuhudhuriwa na Mganga Mkuu Hospitali(W), Diwani wa...
Wanafunzi wa shule ya msingi Mayomboni iliyopo kata ya Mayomboni wilaya ya Mkinga leo Julai 24, 2023 wameendelea kushiriki katika...
Bi. Grace Quintine Mkurugenzi Mtendaji(W) Urambo ameipongeza Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamamii na Huduma za Lishe kwa ufuatiliaji na...
Akifungua kikao hicho Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni Bw. Saitoti Z. Stephen kwaniaba ya Mkuu wa Wilaya...
Akifungua kikao hicho Mkuu wa Idara ya Utawala na Rasilimali watu wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni Bw. Omary Mkangama...
Kamati ya lishe wilaya ya Ikungi yagawa mbegu za mbogamboga kwa watendaji ili kuonyesha mfano kwa jamii zinazowazunguka haswa mashuleni...
Kamati ya Lishe ya Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma imefanya kikao Jumuishi cha Lishe na kujenga uwezo kwa wajumbe wa...
Kampeni ya uhamasishaji wa utoaji wa umuhimu wa elimu ya lishe umefanyika katika kata mbalimbali ikiwepo kata ya Murungu pamoja...
© 2023 Lishe4life. Pata makala za Lishe na Afya - Karibu kwenye tovuti yako pendwa ya Lishe4life imetengenezwa na John Menas.
© 2023 Lishe4life. Pata makala za Lishe na Afya - Karibu kwenye tovuti yako pendwa ya Lishe4life imetengenezwa na John Menas.