Wanafunzi wa shule ya msingi Mayomboni iliyopo kata ya Mayomboni wilaya ya Mkinga leo Julai 24, 2023 wameendelea kushiriki katika zoezi la upewaji wa chakula ambalo lengo ni kuhakikisha utekelezaji wa upatikanaji wa chakula shuleni linaendelea ili kuimarisha uwezo wa akili na afya kwa watoto hao kwa ustawi bora wa akili na kuwasaidia kufanya vizuri kwenye masomo yao.
Source:
Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga